Social Media Advertising Agency Tanzania

Bunju Package
Tsh 80,000
3 Days
Choose:
Facebook Ads
Instagram Ads
Ndovu Package
Tsh 140,000
7 Days
Choose:
Facebook Ads
Instagram Ads
Tembo Package
Tsh 250,000
14 Days
Choose:
Facebook Ads
Instagram Ads
Simba Package
Tsh 570,000
30 Days
Choose:
Facebook Ads
Instagram Ads

Tuko hapa kukusaidia wewe kukuza biashara yako na kufikia mamilioni ya Watanzania waliopo kwenye Instagram na Facebook.

Tangazo lako litatengenezwa vizuri na wataalam wetu ambao ni wajuzi wa marketing, graphics na saikolojia ya namna watu wanavyotumia mitandao ya jamii.

Tuna team ya wataalamu zaidi ya 10 waliopo, Dar es Salaam, Los Angeles na Singapore. Tupo tayari kukusaidia wewe kutimiza ndoto za biashara yako.

Tumeshasaidi watu wengi wenye biashara kubwa na ndogo ndogo kukua kwenye mitandao ya jamii, kupata wateja wengi na kuongeza followers.

Faida za kutangaza biashara yako na Instagram au Facebook

  • Biashara au huduma yako itawafikia mamilion ya watu.
  • Una uwezo wa kuchagua kundi lipi la watu wanaweza kuona Tangazo lako mfano, kama wewe unauza nguo za ndani za kike, unaweza ukaamua tangazo lako lisionekane kwa wanaume.
  • Unachagua tangazo lako lionekane wapi, mfano. Arusha, Dar n.k
  • Unachagua tangazo lako lionekane siku gani.
  • Bei poa, tangazo moja la instagram linaanzia shilingi elfu 50 kwa siku moja.

Usichelewe Wasiliana nasi

Piga simu number: +255 718 080 544